Seventh-Day Adventist Church

Southern Tanzania Union Mission - STU

Menu

YOUTH

TAARIFA YA VIJANA YA SESSION YA STU - MWENGE, DAR ES SALAAM

TAARIFA YA IDARA YA VIJANA CHAPLENSIA NA ELIMU 2014-2015
MALENGO
IDARA YA VIJANA:
 Kuongeza idadi ya wanachama
 Kutafsiri na kuchapisha miongozo ya idara ya vijana kwa Kiswahili Kuwaelimisha viongozi wa vijana namna ya kuendesha idara ya vijana katika muktadha wa uamsho na matengenezo
 Kununua vifaa vya kuendeshea idara ya vijana
 Kuhitimisha Master Guide 100 na kiongozi Mwadventista 50

IDARA YA CHAPLENSIA:

 Kuwaimarisha vijana wa Kiadventista walioko mashuleni na vyuoni (TUCASA)kiroho
 Kuwaongoza wana TUCASA kuwa waongoaji wa roho
 Kushiriki mikutano ya ndani na nje ya nchi

IDARA YA ELIMU:

 Kuendesha zoezi la ukaguzi wa shule za kanisa
 Kujenga/kuboresha maabara za masomo ya sayansi
Kuongeza idadi ya wanachama katika idara ya vijana

MAFANIKIO:

Jedwali lifuatalo linaonyesha ongezeko la wanachama kwa kila chama kama ifuatavyo:

Mwaka Aina ya Chama Idadi ya Vyama Mwaka Idadi ya Vyama Ongezeko la Vyama
2014 Wavumbuzi 358 2015 372 14
2014 Watafutanjia 547 2015 602 55
2014 Mabalozi 286 2015 293 6
2014 Club za K/ Mkuu 31 2015 42 11
2014 K/Mwadventista 6 2015 13 7

MAFANIKIO:
Tumefanikiwa kutafsiri na kuchapisha miongozo ya idara ya vijana kama ifuatavyo;
Tuzo ya wavumbuzi, mwongozo wa darasa la mgunduzi, mwongozo wa darasa la kiongozi mwadventista, mwongozo wa ufafanuzi wa madarasa ya watafutanjia, nishani ya paka, nishani ya mbwa, elimu ya maadili kwa vijana, stadi za maisha, mtazamo wa idara ya vijana (Sehemu ya 1 na ya 2), mbinu za kufundisha mtaala wa watafutanjia na tuzo ya juu ya uongozi wa watafuta njia. Kuwaelimisha viongozi wa vijana namna ya kuendesha idara ya vijana katika muktadha wa uamsho na matengenezo

MAFANIKIO:

Semina elekezi zimefanywa Ilala (wakati wa ETC), na Morogoro. Kule SHC semina zimefanywa Mbeya mjini, Songea na Sumbawanga. Kununua vifaa vya kuendeshea idara ya vijana

MAFANIKIO:

Idara ya vijana imefanikiwa kununua Genereta, printa yenye skana, na hema la huduma ya kwanza.Fedha hizi hazikutokana na ofisi ya fedha ya union, bali ni jitahada za idara zinazotokana na mbinu mbalimbali za kutunisha mfuko wa idara. Kuhitimisha Master Guide 100 na kiongozi Mwadventista 50

MAFANIKIO:

Tumefanikiwa kuhitimisha Master Guide 78 katika kambi la watafunjia la Union lililofanyika kule Chimala-Mbeya mwezi June 2015. Hii ni sawa na 78% ya malengo yetu. Pia kwa mara ya kwanza tumefanikiwa kuhitimisha viongozi wa idara ya vijana, kupitia kozi ya kiongozi Mwadventista 22. Hii ni sawa na 44% ya malengo yetu.
Kushiriki mikutano ya idara ya vijana ya ndani na nje ya nchi

MAFANIKIO:

Vijana wameshiriki katika kambi la Watafutanjia lililofanyika chimala, pamoja na wakurugenzi wao, pamoja na baadhi ya wazee wa makanisa na wachungaji wa mitaa. Jumla ya wanakambi walikuwa 4,892. Pia watafuta njia walishiriki Camporee ya Divisheni ya watafutanjia, iliyofanyika Uganda mwezi wa nane. Jumla ya watafutanjia 52 walishiriki camporee hiyo.
Idara ya Chaplensia. Kuwaimarisha vijana wa Kiadventista walioko mashuleni na vyuoni kiroho

MAFANIKIO:

Mafundisho mbalimbali ya kiroho yalitolewa kwao na wachungaji, katika mikutano yao ya retreat iliyofanyika mwaka jana kule UDOM na kule Kitungwa sekodari Morogoro mwezi wa nne mwaka huu.
Kuwaongoza wanafunzi kuwa waongoaji wa roho

MAFANIKIO:

Tunapenda kumshukuru Mungu. Vijana wa TUCASA wamekuwa wamishenari wakubwa wa kuongoa roho katika vyuo vyao na nje ya maeneo ya vyuo vyao kama ifuatavyo:

KANDA  WATU WALIOBATIZWA
1. KANDA YA DAR 148
2. KANDA YA PWANI 14
3. KANDA YA DODOMA 102
4. KANDA YA MOROGORO 92
5. KANDA YA MIKOA YA KUSINI 48
6. KANDA YA MPWAPWA 28
7. KANDA YA MBEYA 41
8. KANDA YA IRINGA 127

 JUMLA YA WATU WALIOBATIZWA KUPITIA MAFUNDISHO YA EFOTI, HUDUMA ZA JAMII, MADARASA KATIKA HOST ZA WANCHUO NI 600

 JUMLA YA VITABU VYA TUMAINI KUU VILIVYO SAMBAZWA NA WANA TUCASA NI 12,798.
 JUMLA YA VIJIZUU VILIVYOSAMBAWA VYUONI NI 79,640,
 JUMLA YA VITUO VYA WATOTO YATIMA VILIVYOTEMBELEWA NI 58.
 MAKANISA YANAYOENDELEA KUJENGWA NA WANA TUCASA NI MATATU.
 PESA ZILIZOTUMIKA KWA HUDUMA ZA JAMII NI TSH. 15,530,450/=
 JUMLA YA SABATO ZA WAGENI ZILIZOFANYWA NA WANA TUCASA 49.
 SEMINA KUBWA ZA UONGOZI NA UINJILIST ZILIZOFANYWA KWA WANA TUCASA 39.
Kushiriki mikutano ya ndani na nje ya nchi

MAFANIKIO:

Wana TUCASA walishiriki mkutano wa Division yetu uliofanyika Desemba 2014 kule Baraton Kenya. Jumla walikuwa 847. Pia walishiriki mkutano wa union wa wana TUCASA uliofanyika Kitungwa sekondari kule Morogoro April 2015.

Idara ya elimu.
Kuendesha zoezi la kuzikagua shule za kanisa ili zipewe hati ya kutambuliwa na kansia.

MAFANIKIO:

Shule zote za kanisa zimekaguliwa na kuandaliwa kwaajili ya uongozi wa elimu wa Division utakaokuja kuzikagua mwakani. Kuboresha/kujenga maabara ya masomo ya sayansi.

MAFANIKIO:

Kwa kuitikia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakuzitaka shule zote za sekondari kuwa na maabara, kanisa letu limejenga na kukarabati vyumba vya maabara ya sayasi kule Ndembela, Shule ya sekondari ya Mbeya, Iringa na Kitungwa. ADRA wametufadhili vifaa vya maabara ya sayansi vya milioni tano kule SHC. Kuna ongezeko la shule ya sekondari mpya kule Mbeya iitwayo Mbeya Adventist Secondary school.. Shule nyingine ya sekondari inajengwa kule Wanging,ombe huko SHC.

MATARAJIO YA BAADAYE:

 Kuongeza idadi ya Master Guide na kiongozi Mwadventista wa kutosha kwaajili ya kutoa huduma ya malezi kwa vijana na kanisa kwa ujumla
 Kununua PA System ya idara
 Kukamilisha hati za kumiliki eneo la Vigwaza.
 Kuanzisha shule mbili za sekondari zitakazosimamiwa na union
 Kuanzisha chuo kikuu cha kanisa.
 Kutoa semina elekezi kwa muziki wa Kikristo
 Kuendeleza huduma ya kutetea uhuru wa dini kwa wanafunzi na wafanyakazi wanaosumbuliwa kwaajili ya utunzaji wa sabato

. . . MWISHO WA TAARIFA


YOUTH MINISTRIES DEPARTMENT

Our Mission:

To lead young people into a saving relationship with Jesus Christ and help them embrace His call to discipleship

Our Philosophy:

The Seventh-day Adventist Church is committed to understanding young people and training its youth for leadership and service to humanity.  The Youth Ministries Department is a church-centered spiritual-recreational-activity program designed for young people 09 to 35 years of age.  The Department appeals to this age group because its program features activities that meet their needs and interests. Much of the Youth program is built around physical action. This is because youth are in a fast-growing physical stage of development. It is filled with action, adventure, challenge, group activities, and provides opportunities for the development of new attitudes and skills that produce personal growth, team or community spirit and a sense of loyalty and respect for God, His Creation, and His church.

Our Objectives:

  1. Help the young people to understand that God and His church love them, care for them, and appreciate them..
  2. Encourage our young people to discover their own God-given Inspire young people to give personal expression of their love for God by uniting them together in various outreach activities.
  3. Make the number one priority of our club programs, to be the personal salvation of every youth
  4. Build into a young people life a healthy appreciation and love for God's creation by enjoying outdoor activity
  5. Teach Young people specific skills and hobbies that will make their lives more meaningful.
  6. Encourage the young people to keep physically fit
  7. Give opportunity for the development of leadership
  8. Seek to foster the harmonious development of the physical, social, intellectual, and spiritual life .

Our Theme:

We are a global movement of destiny, united in purpose and mission, yet diverse in culture, language, geography, economy, and heritage. It is through the power of Christ and His Spirit that we can celebrate our unity in the midst of such diversity. In a world of ethnic and national divide, this exquisite expression of unity in Jesus is the most powerful expression of the reality of the gospel in the midst of God’s people.