Seventh-Day Adventist Church

Southern Tanzania Union Mission - STU

Menu

WOMEN AND CHILDREN

Women & Children Depertment

Mrs Ruth Eyembe, Director

Contacts: Mobile +255 767 503539,
email: sungwa2007@yahoo.com.

TAARIFA YA KAZI KWENYE SESSION YA STU 2015 - MWENGE DAR ES SALAAM
Namshukuru Mungu kwa kutuwezesha kumtumikia katika miaka hii miwili 2014 – 2015.


IDARA YA HUDUMA ZA WANAWAKE

Mafanikio:
i. Kongresi mbili za wasichana zilifanyika katika konferensi mbili zikiwezeshwa na Unioni yetu.
 24-29 Juni, 2014 - mahali ilipofanyika Kongowe ECT.
 14-17 Dec, 2014 - mahali ilipofanyika Iringa SHC.
 Mahudhurio wasichana 300, na waligawa Tumaini kuu 300.

ii. Kongresi mbili za wanawake – zilizowezeshwa na Idara.

 July 1-5 2014 – mahali ilipofanyika Mbeya SHC.
 Dec 17 – 21, 2014 Mtwara.

iii. Kongresi ya Unioni ya wasichana ilifanyika Iringa na mahudhurio ni watu 100.

shughuli zilizofanyika ni pamoja na;
 Maombi, Ibada, nyimbo, kutembelea makumbusho ya Mkwawa, Uinjilisti, ugawaji wa vitabu vya Tumaini Kuu 200.
 Semina za Idara, Upishi, Ujasiliamali (Ususi wa Vikapu) Bustani/ Kilimo, Ushauri ,maswali na majibu.

iv. Konferesi ya Unioni ya wanawake ilifanyika Morogoro 29/08 – 05 Septemba, 2015 ilihitimishwa kwa kutoa vyeti vya mahudhurio kwa wajumbe.

 Wanawake / Wanaume 30 walitoa damu kwa Hospitali ya mkoa wa Morogoro.
 wanawake walichangia 215,000/= Taslimu kwa ajili ya ujenzi wa kanisa la Morogoro mjini ulipofanyika mkutano.
 Walichanga 140,000/= kumsaidia mjumbe wa Kongresi aliyepoteza mzigo wake.
 Vitabu 200 vya Afya na Uzima vilinunuliwa na wanawake na kugawiwa.

v. Kutafsiriwa kitabu cha Mwongozo wa Idara cha GC.

vi. Mkutano wa ushauri na wakurugenzi wa Konferensi ulifanyika Feb 2014.
vii. Unioni iliendesha Kongresi fupi tangu 1–3/2/2015. Manzese kanisani iliyotangulia
kabla ya tukio la Extravaganza ambayo ilipokea ugeni toka ngazi zote za kanisa
ulimwenguni / Divisheni.
viii. Idara inapatikana katika mtandao wa kanisa.
ix. Kufanya kazi na Idara zingine mfano uwakili Elimu na vijana ili kuendeleza utume wa
kanisa.

SHUGHULI KITAKWIMU:

Retreat SDA waliohudhuria Wasio wa SDA Walio
rejeshwa
Semina za mafunzo Mikutano mingine Ufadhili Walio
batizwa
Miradi
546 12,489 2,396 735 1,983 210 - 686 149

IDARA YA HUDUMA ZA WATOTO:
Mafanikio:
1. Viongozi Idara ya watoto 42 walihudhuria Kongresi ya Divisheni, Idara ya Huduma za Watoto Arusha 13-16 Agosti 2014.
2. Mkutano wa ushauri na wakufunzi wa Kongresi ulifanyika Februari 2014.
3. Kitabu cha Mwongozo wa Idara cha GC kimetafsiriwa kipo katika kiwanda cha Ufunuo Morogoro kwa ajili ya kuchapishwa.
4. Koferensi ya Idara ya huduma za watoto STU yenye msisitizo wa VBS (Shule wakati wa likizo) ilifanyika katika maeneo mawili; (1) ECT Morogoro tarehe 28/4 -1/5, 2015, na (2) SHC Mbeya tarehe 9.6 – 14.6 2015. Matokeo ya mkutano huu ni ongezeko la shule za Biblia zilizofanyika kutoka 151/2014 hadi 246/2015 pamoja na Kongresi hii wajumbe walipatiwa mtaala wa VBS ulioandaliwa kwa matumizi ya baadaye katika Unioni nzima.
5. Idara ipo kwenye mtandao wa Kanisa 

SHUGHULI KITAKWIMU:

Makanisa yenye viongozi  Idadi
ya
watoto
0-14
VBS
zilizo fanyika
waliohu
dhuria
walio
SDA
Wasio
SDA
Program
katika jamii
Wenye madarasa
ya ubatizo
walio
batizwa
Program za wanafunzi Pogram ya  uinjilisti Mafunzo ya
walimu wa watoto
Watoto waliowe
kwa wakfu
1,706 89,814 246 8,428 6,330 2,098 1,273 1,681 1,595 662 20,652 735

IDARA YA HUDUMA ZA AFYA

Mafanikio:
 Zahanati zote zilitembelewa, 2014.
 Masomo ya Kanuni mpya za afya (CELEBRATIONS) yalitolewa maeneo yaliyotembelewa.
 Huduma ya kimataifa ya waadventista wa Sabato inayoshughulika na VVU/Ukimwi ilianzishwa STU 2014, na kumchagua mratibu ambaye ni Mkurugenzi wa afya. Huduma hii ilifanya mafunzo kwa walimu wa waalimu (TOT) 35 katika STU tarehe 23-25 Novemba, 2014 kuanzia Konferensi ya ECT.
 Mwongozo wa AAIM unatafsiriwa na ukiwa tayari utasambazwa kwenye makanisa yote.
 Idara ilishiriki katika kambi la afya kwenye mkutano tarehe 1-3.Febr, 2015 kabla ya extravaganza kuanza kule Manzese kanisani ambapo madaktari 30, wauguzi na madaktari wanafunzi walitoa huduma ya upimaji. Kabla ya kushiriki katika mkutano wa Utume wa Extravaganza uwanja wa taifa ambapo walihudumiwa watu 3,000 pamoja na kutoa damu, program ya uinjilisti wa afya ilifanyika Pemba 16-25 Machi, watu walitibiwa na kuhitimisha tukio hilo kwa ufunguzi rasmi wa zahanati ya Pemba.
 Kambi la Afya lilifanyika Mbeya katika Zahanati ya Iganzo 8 -13 Juni 2015 - Jamii na washiriki walihudhuria.
 Effort – Sumbawanga ilifanyika 27Sept -17 Oktoba na walibatizwa watu 55.
 Ushirikiano wa kazi na Idara Zingine; Idara ya uchapishaji kuzindua kitabu cha Afya na Uzima April 18, 2015.
 Mafundisho ya Afya wakati wa effort za Jiji Dec - Januari 2015.
 Kutoa masomo katika Redio Morning Star.

Changamoto:

 Umaskini katika baadhi ya vijiji vya STU.
 Uinjilisti kwa wanawake waislamu.
 Utumaji taarifa wakati mwingine zinachelewa.
 Ukosefu wa ajira kwa wasichana/vijana.

Mipango ya 2016:

 Kufanya mkutano wa walimu wa walimu (AAIM) kwa wajumbe 35 toka SHC na SEC 2016.
 Idara ya Afya STU kushirikiana na wanataaluma waadventista vijana /wanafunzi katika secta ya afya ili kuunda umoja katika huduma za afya makanisani pia katika utoaji huduma katika zahanati zetu.
 Kuwa na Kongresi ya Idara ya Afya Juni 2016.
 Kurekodi nyimbo za watoto za kutumia makanisani.
 Hospitali ya Mtwara 2016.
 Idara ya Afya SHC kuratibiwa katika Zahanati.
 Kujenga kituo cha wanawake waadventista cha mafunzo.

SHUGHULI ZA KITAKWIMU:

 Jina la Zahanati  Mahali ilipo  Idadi ya vitanda  Wagonjwa waliohudhuria Madaktari walioajiriwa  Watumishi SDA  Watumishi wasio SDA Jumla ya Watendakazi
1.Morogoro Morogoro 6 15,090 2 6 3 9
2.Temeke Dar  6 18, 660 2 12 5 17
3.Mtwara  Mtwara  5 5,494 2 6 1 7
4.Zanzibar Unguja - 2, 787 2 8 3 11
5.Zoisa  Dodoma - 3,009 2 8 1 9
6.Pemba Pemba 12 564 2 4 3 7

NB: Taarifa hii ni kwa zahanati za ECT na SEC.
WOMEN’S MINISTRIES DEPARTMENT

Mission statement:

The department of Women’s Ministries exists to uphold encourage and challenge Adventist women in their pilgrimage as disciples of Jesus Christ and members of His World church.

Goals Nurture: nurturing new members, visitors church members; prayer ministries for church pastor and leaders.

Empower: evangelism training program

Outreach: “Homes of Hope and Healing” focusing on Bible Study, Prayer and Women’s Health.

OBJECTIVES:

Homes of Hope and Healing:

 • To continue our emphasis on small groups by encouraging women to use their homes as a place of home and healing in the communities. These “Homes of Hope and Healing” will be a place for Bible study, prayer, and sharing health information, as well as providing emotional and spiritual support for women in the church and community.

Women’s Mental Health:

 • To focus on women’s health issues, especially mental health, and its impact on women’s physical and spiritual health (Nurture, Empower, Outreach). Reach up/reach Across/Reach Out.

Touch a Heart, Tell the World:

 • To continuo.. emphasis on combining ministry(service) and theology by focusing on physical and spiritual need as important methods of evangelism.(Nurture and Outreach) Reach Up / Reach Across/ Reach Out.
 • To continue our focus on ministry to women based on the Six Challenge Issue that impact women around the world: threats to health; women’s workloard; Poverty; lack of training, mentoring and leadership opportunities; abuse; and illiteracy. This includes continued promotion of the enditinow program and Abuse Prevention Emphasis Day (APED) Nurture, Empower and Outreach) Reach Up/Reach Across/ Reach Out.
 • To continue to promoting “Plant a seed” Ministry and Friendship Evangelism. (Outreach)

Reach out:

 • To continue to promote and support WM community projects that help meet the practical needs of women and families in the community, such as Goat Projects Sewing Machine project, Literacy Centers, Gardening  Projects, Shelters for Homeless women and orphans of HIV AIDS, Prison Ministries, and many more. Empower and outreach) Reach across? Reach Out.
 • To continue emphasis on the importance of leadership training for women in the church and to have at least 80% of all WM church larders equipped for ministry by completing the GCWM Leadership certification program. (Empower)reach Across.
 • To continue our ministry to young women through mentoring programs (Nurture and empower) reach Across/ reach Out.
 • To continue to promote and support the Women’s scholarship program. (empower, Nurture) reach Across.
 • To encourage women to nurture new members, visitors and members in the  church ( nurture, outreach)reach across, Reach out

CHILDREN’S MINISTRIES DEPARTMENT.

MISSION STATEMENT:

The mission of the children’s ministries department is to nurture children into a loving , serving relationship with Jesus.

VISION STATEMENT:

That every child in the world will be invited to know Jesus Christ and accept him as his/her personal friend and Savior.

RECENT RESEARCH IN CHILDREN’S MINISTRIES:

Most recent research shows that parents are the important agents that impact children’s spiritual growth. The church and the school are only secondary agents. Hence, we need to partner with parents and families to disciple our children.

 1. To implement the tell the world initiative: reach up, reach our reach Across.
 2. To nurture the spiritual growth of children  through kids in discipleship; initiative in every one of the thirteen world division.
 3. To foster a lifestyle of personal devotions and quiet times with God in children and teens through encouraging prayer and bible study.
 4. To promote healthful living and a healthy lifestyle in children and teens.
 5. To involve children and teens in missions and outreach to others in the community.
 6. To foster good stewardship practices in children.
 7. To provide more extensive training of children’s teachers and leaders through the CHM Leadership certification. Levels  iii-v
 8. To develop resources for ministry to children with special needs.
 9. To provide resources and training to evangelize children within the church as well as children in the community

 HOW WE CAN COLLABORATE:

    (i) Joint training events for CHM and FM through conferences.

    (ii) Collaborate in organizing kids in discipleship training events in the divisions.

    (iii) Joint production of resources such as books,  DVDS, etc.

    (iv) Work with division directors to encourage the various levels of the church to include families in all aspect of church
          life, such as worships, mission outreach, children’s and 
families activities, etc.