VIONGOZI WA DIVISHENI:
Viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato katika Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati waliochaguliwa kwenye sesheni iliyofanyika San Antonio Marekani Julai, 2015, watakaoongoza eneo hilo kwa kipindi cha mwaka 2015 - 2020:
MAOFISA:
1. Mwenyekiti: Dr Blasious Ruguri
2. Katibu Mkuu: Mch Alain Coralie
3. Mhazini: Jerome Habimana
Wafuatao ni maofisa wasaidizi, wakurugenzi wa idara mbalimbali za divisheni, na Viongozi (Maafisa) wa Union Misheni, na Union Konferensi mbalimbali zilizopo katika Divisheni hiyo ya Afrika Mashariki na ya Kati ya Kanisa la Waadventista wa Sabato ambao baadhi waliochaguliwa kwenye mkutano mkuu uliofanyika Nairobi nchini Kenya kuanzia 31, August hadi 01, September, 2015, na wengine walichaguliwa baadaye.
WASAIDIZI WA MAOFISA:
1. Katibu Msaidizi: Dr. Tom Arunga Ogal
2. Mhazini Msaidizi: Michael Caballero
3. Mhazini Msaidizi: Yohannes Olana
WAKURUGENZI WA IDARA:
1. Mawasiliano - Prince Bahati
2. Elimu - Dr.Andrew Mutero
3. Afya - Fesaha Tsegaye
4. Huduma za Kichungaji -Mch Mussa Mitekaro
5. Uchapishaji - Mch. J. Bizirema
6. Shule ya Sabato na Huduma Binafsi - Mch. Noah Musema
7. Uwakili - William Bagambe
8. Wanawake na Watoto - Debbie Maloba
9. Vijana na Chaplensia - Mch. Magulilo Mwakalonge
10. Uinjilisti - Mch. Joel Okindo
Viongozi wa Unioni Misheni zilizopo kwenye Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati waliochaguliwa:
UNION MISSION YA BURUNDI:
1. Mwenyekiti - Mch.Joseph Ndikubwayo
2. Katibu - Mch. Paul Erakose
3. Mhazini - Philip Javaid
UNION MISSION YA CONGO MASHARIKI:
1. Mwenyekiti - Mch. Robert S. Muhune
2. Katibu - Mch. Tekwa
3. Mhazini - Elder Jean
UNION MISSION YA ETHIOPIA:
1. Mwenyekiti - Mch. T. Bulti
2. Katibu - Mch Lukas A
3. Mhazini - A. Alemu
UNION MISSION YA KASKAZINI MASHARIKI MWA CONGO:
1. Mwenyekiti - Dr. Mwangachuchu
2. Katibu - Mch. S. Ndangamyambi
3. Mhazini - Elder E. Kerosi
UNION MISSION YA RWANDA:
1. Mwenyekiti - Mch. Hezron Byilingiro
2. Katibu - Mch. Issachar Ntakirutimana
3. Mhazini - Joseph Sebahire
UNION MISSION YA KUSINI MWA TANZANIA:
1. Mwenyekiti - Mch. Mark Malekana
2. Katibu - Mch. Rabson Nkoko
3. Mhazini - Jack Manongi
UNION MISSION YA UGANDA:
1. Mwenyekiti - Mch. Daniel Matte
2. Katibu - Mch. Israel Kafeero
3. Mhazini - Frank Kiggundu
UNION MISSION YA MAGHARIBI MWA CONGO:
1. Mwenyekiti - Mch. Ambrose Fumakwa
2. Katibu - Mch. C.B. Mukinay
3. Mhazini - S.K. Landu
NORTH TANZANIA UNION CONFERENCE:
1. Mwenyekiti: Pr/Dr Godwin Lekundayo
2. Katibu: David Makoye
3. Mhazini: Dickson Matiko
EAST KENYA UNION KONFERENSI:
1. Mwenyekiti: Pr. Dr. Samuel Makori
2. Katibu: Pr/Dr. Alfred Marundu
3. Mhazini: Mr. Nehemiah Maiyo